Unaweza kusema rungu la FIFA limeigusa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ baada ya kutangazwa uamuzi wa kuifungia Congo ...
Mwandishi mahiri wa riwaya nchini, Faki A. Faki anakuja na mzigo mpya kabisa wa kisa cha upelelezi, mapenzi na maisha ya ...
Serikali ya Kenya inatarajia kumaliza ukarabati wa Uwanja wa Moi Kasarani mwezi Aprili. Uwanja huu wenye uwezo wa kuchukua ...
Baada ya kuiondoa Tottenham Hotspur katika nusu fainali ya Kombe la Carabao sasa Liverpool itavaana na Newcastle katika ...
KOCHA wa Fenerbahce, Jose Mourinho alimpiga kibao Mkalimani wake baada ya kufanya makosa katika mkutano na waandishi wa ...
Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa Wilaya ya Temeke, Hashim Mziray amemtangaza Mohamed Saleh Mohamed kuwa ndiye Mwenyekiti wa chama cha soka wilayani humo (TEFA) baada ya kushinda ...
Hii hapa ratiba ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2024/25 iliyofanyiwa maboresho. Hatimaye sakata la wachezaji watatu nyota wa timu ...
Okwaro, ambaye anavutiwa na Cristiano Ronaldo, Jumanne wiki hii alijumuishwa katika kikosi cha Harambee Starlets chenye ...
KABLA ya kutimka kwa aliyekuwa kocha wa Yanga, Sead Ramovic alikuwa alimkalia kooni winga mpya wa timu hiyo, Jonathan ...
UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa kupigwa mechi mbili za kukamilisha raundi ya 17, huku kazi kubwa ikiwa jijini ...
MAMBO yameendelea kuwa mabaya kwa Arsenal katika kipindi ambacho inapambana kuhakikisha inaishusha Liverpool katika mbio za ...
MATAJIRI wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ...