News

BINGWA mpya wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) anatarajiwa kujulikana leo wakati Mlandege na KVZ zitakaposhuka viwanja viwili tofauti ...
SOKA limepigwa hasa katika 8-Bora ya Ligi Kuu ya soka kwa Vijana wenye umri chini ya miaka 20 nchini na mvuto zaidi ulikuwa ...
MASHABIKI wa Simba wanasikilizia dili la kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' kama litatiki au la, lakini presha yao ni ...
HUKO mtaani mashabiki wa Yanga wanaendelea kuchekea tumboni baada ya watani wao, Simba kushindwa kubeba ubingwa wa Kombe la ...
MKUU wa masuala ya mpira wa miguu wa Manchester United, Dave Brailsford anatarajiwa kujiondoa katika nafasi hiyo ikiwa ni ...
IKIWA zimebakia siku tisa kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la klabu itakayopigwa kule Marekani, maandalizi ...
ALIYEKUWA Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina ni miongoni mwa makocha wanaotajwa kwa ajili ya kukifundisha ...
ILE Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Yanga dhidi ya Singida Black Stars, wakati wowote inaweza kurejea Zanzibar ...
MABOSI wa Liverpool wanajiandaa kulipa Pauni 126 milioni ili kumnasa kiungo wa Bayer Leverkusen Florian Wirtz haraka ...
MASHABIKI wa muziki wa dansi wamempachika jina la Iron Lady, lakini jina lake kamili ni Asha Baraka, mwenyekiti wa Bendi wa ...
MSHAMBULIAJI wa Namungo, Ibrahim Ali Mkoko amemaliza msimu kutokana na kufanyiwa tena upasuaji wa pili wa goti la mguu wa ...
KIUNGO mshambuliaji anayemaliza mkataba alionao na JKT Tanzania, Maka Edward ameziingiza vitani klabu zilizorejea Ligi Kuu ...