News

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayekipiga Wydad Casablanca ya Morocco, Selemani Mwalimu Abdallah ‘Gomez’ anatarajiwa ...
MAGOLIKIPA wengi duniani wameshinda Tuzo ya Golikipa Bora wa mashindano kwa kigezo kikubwa cha kuwa na 'clean sheet' nyingi.
LICHA ya juzi kuchezwa mechi tofauti za Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) iliyokuwa na mvuto, msisimko na kujaza ...
KIKOSI cha Yanga tayari kipo jijini Tanga kwa ajili ya pambano la nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA), huku kocha mkuu ...
BADO saa chache kabla ya Simba kushuka uwanjani kuvaana na RS Berkane ya Morocco kwenye pambano la kwanza la fainali ya Kombe ...
SIMBA imekata mzizi wa fitina. Imetinga fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kusota kwa muda mrefu. Timu hiyo ...
SIMBA inashuka uwanjani usiku wa leo ikiwa ugenini kuvaana na RS Berkane ya Morocco katika mechi ya kibabe ya fainali ...
TAKRIBAN miaka 32 imepita tangu Simba ilipocheza fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 wakati ambao Kocha Mkuu alikuwa Abdallah ...
KIVUMBI cha michuano mipya ya Fifa ya Kombe la Dunia la Klabu kinatarajiwa kuanza Juni 15 hadi Julai 13 na timu 32 ...
KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix ‘Minziro’ ametoa siku 10 kwa wachezaji kabla ya kurejea kujiandaa dhidi ya JKT Tanzania na KMC akizitaja kama ndizo za kukwepa mtego wa kuangukia kucheza mtoano.
NYOTA wa timu ya taifa ya Wanawake na klabu ya Brighton & Hove Albion ya England, Aisha Masaka akishirikiana na msanii wa hip hop, Frida Amani wamezindua kampeni ya 'Amka Malkia ' ...
MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Hassan Dalali amesema hadi sasa maandalizi ya timu hiyo kwa mchezo wa ugenini wa hatua ya ...