News

SIKU chache tangu, kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga anayekipiga Wydad Casablanca ya Morocco, Stephane Aziz KI, mkewe ambaye ni mrembo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto ametupia picha ...
WIKIENDI iliyopita lilifungwa rasmi pazia la Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo PSG ilitwaa taji hilo baada ya kuichapa Inter ...
MSISITIZO wa Yanga wa kutocheza Dabi ya Kariakoo bado upo palepale. Inaelezwa kuwa Yanga, haitacheza Dabi ya Kariakoo Juni 15 ...
MDOGO wangu Elly Sasii hana hofu. Anatushangaa sisi ambao tunamshangaa. Anatushangaa sisi ambao tunamsifia mwamuzi wa pambano ...
PENGINE taarifa hii itawashusha presha mashabiki wa Yanga, wanaoianza wiki ya kwanza ndani ya Juni, baada ya kubainika kuwa, ...
KABLA hata dirisha la usajili halijatangazwa kufunguliwa, mabosi wa klabu kubwa za soka nchini wameanza kazi kimyakimya ...
TANGU nyakati za Uhuru ni nadra sana kwa kesi za tuhuma za uchochezi kumalizika mahakamani hadi hukumu au uamuzi utokee.
KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, anatafuta msaidizi mpya baada ya John Heitinga kuachana na timu hiyo na kutua Ajax ambako ...
INAELEZWA nafasi ya kocha wa Tottenham, Ange Postecoglou, iko hatarini sana licha ya kuiwezesha timu hiyo kufuzu Ligi ya ...
KOCHA wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekataa nafasi ya kurejea katika ukocha licha ya kutokuwa na kazi kwa miaka ...
KITENDO cha mshambuliaji wa Kitanzania, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ kucheza dakika 10 katika mechi ya kimataifa ya kirafiki kati ...