We continue to discuss the word which start with letter H ,to day we discuss the word hofu,hujambo and huko The Swahili word “hofu” means “fear,” “anxiety,” or “apprehension” in English. It is used to ...
We proceed with the word which start with letter H,to day we discuss the word which is Hodi and Hodari The Swahili word “hodi” is a traditional greeting or request for permission to enter someone’s ...
DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan leo Aprili 5, 2025, amezindua jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma. Jengo hilo limeweka rekodi kuwa la sita kwa ukubwa duniani miongoni mwa ...
MGOMBEA nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohamed Janabi ametaja vipaumbele ...
Amesema serikali ina miradi mingi ya kiuchumi kwa ajili ya maendeleo ya kiuchumi na biashara kwa wananchi hivyo muda mwingi ...
Awali, BoT ilisema uamuzi wa kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za Shilingi ya Tanzania zilizoidhinishwa kutumika na ...
“Tanzania ina mikakati mbalimbali ya kuhakikikisha usalama wa mgonjwa unapewa kipaumbele ikiwa ni pamoja na uwepo wa miongozo ...
JESHI la Polisi nchini limetenga siku 14 kwa ajili ya mpango maalum wa kukutana na kutoa elimu kwa makundi mbalimbali ya ...
DIWANI wa kata ya Kiziguzigu wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma Martin Runaku Mpemba amekufa baada ya kupigwa mapanga na mtu asiyejulikana na kupelekea kifo chake. Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ...
ZANZIBAR: JESHI la Polisi limeeleza kuwa limejipanga kuhakikisha uchaguzi mkuu unafanyika katika mazingira ya amani na ...
TIMU ya Taifa ya Kriketi kwa vijana chini ya umri wa miaka 19 inazidi kung’ara katika michuano ya kufuzu Kombe la Dunia ...
DAR ES SALAAM: WACHEZAJI zaidi ya 120 wanatarajia kuchuana kesho katika shindano la siku moja litakalohusisha klabu ...