News
Haiwezekani nune akamuigiza simba. Nune ni mdudu na simba ni mfalme na malkia wa pori. Kupe hata kwa usanii na utani, hawezi kubeba ubini wa tembo wala ng’ombe. Wawili hawa ni tofauti kabisa.
Hawana uchaguzi wala uwezo kama mafyatu. Sitaki kufikiri. Sijui inahisika au kuwa vipi kwa fyatu kujilinganisha au kugeuzwa hayawani kama mdudu chawa. Sitaki kujua wala ku-imagine. Kwa wale waliokua ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results