News

Ofisa Habari wa Yanga, Ali Kamwe, alisema jana mazoezi ya timu yake yanayoongozwa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, yanawapa matumaini ya kuondoka na matokeo chanya katika mechi hiyo muhimu. Kamwe ...
Kwa mujibu wa mtoa taarifa huyo, wachezaji hao ni winga hatari wa Petro de Luanda ya Angola, Deivi Miguel Vieira maarufu kama ... Abubeker Nassir Ahmed raia wa Ethiopia, anayeichezea Mamelodi Sundowns ...