News

Wakizungumza na Mwananchi, wadau hao wameeleza kuwa bajeti hiyo haitoi majibu ya moja kwa moja kwa changamoto zilizopo kwenye ...
Timu kutoka Chuo Kikuu cha Tokyo nchini Japani imeanza utafiti wa popo nchini Vietnam kutafuta virusi vyenye uwezekano wa kusababisha janga lingine. Janga la virusi vya korona linasadikiwa ...
DAR ES SALAAM: “Mimi nipo, njooni kwa Miriam Odemba ili ujifunze namna halisi ya kuvaa mavazi maalum kwa mazingira maalum, na bado upendeze, mimi ni chuo cha mavazi ya heshima,”ameandika mwanamitindo ...
Wananchi na wasomi wamekoleza mjadala wenye mitazo tofauti kuhusu nyongeza ya majimbo mapya manane yaliyotangazwa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), baadhi wakisema hatua hiyo ...
QATAR: BALOZI wa Tanzania nchini Qatar, Habibu Awesi Mohamed amekutana na kufanya mazungumzo na Uongozi wa Chuo cha Mowasalat (Karwa) Makao Makuu ya Chuo hicho Doha. Mazungumzo hayo yalilenga ...
MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa(UVCCM) wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Rehema Sombi amesema ameridhishwa na mwenendo wa ujenzi wa Chuo cha ufundi stadi halmshauri ya Msalala Wilayani Kahama ...