News
Prof Roger Hardie, wa chuo cha Cambridge, amekuwa akitafiti jinsi mbu na nzi hufanya kazi, na ameandaa hata kipimo cha kupima kiwango hiki cha kasi ya mnyama au mdudu kufasiri picha kwenye ubongo.
Wanasayansi wanaotafiti ubongo wa nzi wamegundua ulipo, umbo na muingiliano wa kila seli moja kati ya seli zake 130,000 na viunganishi vyake milioni 50. Ni uchambuzi wa kina wa ubongo wa mdudu.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results